#HABARI: Mtuhumiwa mmoja Bwana Moses Mungungulu mkazi wa Halmashauri ya mji Makambako mkoani Njombe amekamatwa na Shirika la Umeme Tanzania-TANESCO mkoani Njombe akihujumu miundombinu ya shirika hilo ikiwemo kuchezea mita na kujipatia huduma ya umeme kwa bei pungufu jambo ambalo ni kinyume na sheria za shirika hilo.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @radioonetanzania