#HABARI: Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imetoa msamaha wa kutochukua hatua kwa watu au mtu yeyote anayemiliki silaha kwa njia za panya, endapo ataisalimisha kwa hiyari yake ndani ya siku sitini na moja kuanzia leo na hadi Oktoba 31, 2025, kwamba muda huo ukipita atakayekutwa anamiliki silaha kinyume na sheria atakamatwa na kushtakiwa ili kuzuia uzagaaji holela wa silaha hizo zinazo hatarisha maisha ya watu.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania #uchaguzimkuu2025