#HABARI: Serikali ya Mkoa wa Simiyu, imetoa onyo kwa wanasiasa wanaotumia majukwaa ya kampeni kutoa lugha za kichochezi, kueneza chuki na kuwagawa wananchi kwa misingi ya itikadi, kabila au dini, ikisisitiza kuwa haitasita kuchukua hatua kwa yeyote atakayevuruga amani ya mkoa huo na kwamba wananchi wanapaswa kusikia sera na mikakati itakayowaletea maendeleo na sio vinginevyo.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania #uchaguzimkuu2025