Mkutano kati ya Zelensky na ‘viongozi wa Ulaya’ kufanyika Paris Paris siku ya AlhamisiMkutano kati ya Zelensky na ‘viongozi wa Ulaya’ kufanyika Paris Paris siku ya Alhamisi

Mkutano kati ya Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky na “viongozi kadhaa wa Ulaya” umepangwa kufanyika siku ya Alhamisi, Septemba 4, mjini Paris, chanzo cha kisiasa cha Ulaya kimeliambia shirika la habari la AFP siku ya Jumatatu, huku juhudi za Washington za kukomesha mashambulizi ya Urusi dhidi ya Ukraine zikionekana kukwama.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *