“Utendaji wa Rais Samia anastahili kupata alama ‘A’, kwa sababu wakati ameingia madarakani mazingira ambayo aliyakuta kiasi amba…“Utendaji wa Rais Samia anastahili kupata alama ‘A’, kwa sababu wakati ameingia madarakani mazingira ambayo aliyakuta kiasi amba…

“Utendaji wa Rais Samia anastahili kupata alama ‘A’, kwa sababu wakati ameingia madarakani mazingira ambayo aliyakuta kiasi ambacho biashara ya Tanzania duniani ilikuwa dola Bilioni 17 tu , leo biashara ya Tanzania duniani ipo zaidi ya Dola Bilioni 32, leo viwanda vya kuchakata madini vimeongezeka kutoka viwili mpaka 9, viwanda vya nyama kutoka 3 mpaka 7, inajengwa bandari ya uvuvi kubwa nk,Serikali ya awamu ya sita, chini ya Mhe.Samia Suluhu Hassan imefanya makubwa” -David Kafulila – Mkurugenzi Mtendaji wa PPP

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *