DRC: Kuachiliwa kwa wafungwa, kikwazo kikubwa katika mazungumzo ya amani ya DohaDRC: Kuachiliwa kwa wafungwa, kikwazo kikubwa katika mazungumzo ya amani ya Doha

Wajumbe wa Kongo na AFC/M23 wamekuwa mjini Doha kwa karibu wiki tatu sasa kuendeleza mchakato wa amani. Lakini maendeleo bado ni madogo. Kwa mujibu wa taarifa zetu, hakuna mijadala ya maana iliyofanyika. Pande zote mbili zimesalia na mvutano juu ya kile kinachojulikana kama hatua za kujenga imani, haswa suala nyeti la kuachiliwa kwa wafungwa. Kwa nini mkwamo huu unaendelea, na mchakato umefikia wapi hasa?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *