Ukiwa na zaidi ya hekta 1,000, Msitu wa Karura ni msitu wa pili kwa ukubwa wa mijini ulimwenguni. Tangu mwaka wa 2009, kutokana na kujitolea kwa mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel Wangari Maathai, hifadhi hii ya asili imekuwa ikisimamiwa kwa pamoja na wakazi jirani ya msitu huu, wanaojumuika katika Chama cha Friends of Karura, na serikali.
Kenya: Wasiwasi watanda kuhusu hatima ya Msitu wa Karura kufuatia uamuzi wa mamlaka