Picha mbili zilizofanana za Musa al-Sadr, nyeusi na nyeupe lakini moja yenye mandharinyuma nyekundu na moja inayoonyesha sehemu za ufuatiliaji za utambulisho wa picha.
Maelezo ya picha, Musa al-Sadr alitoweka tangu 1978

    • Author, Moe Shreif
    • Nafasi, Uchunguzi wa BBC Eye

Tahadhari: Ina picha ambazo baadhi zinaweza kukasirisha

Mwanasayansi wa kompyuta katika chuo kikuu kaskazini mwa Uingereza anachunguza picha ya maiti – akiwa katika pilkapilka za kutatua fumbo ambalo limeitesa Mashariki ya Kati kwa karibu miaka 50 kuling’amua.

“Hivi sasa ndivyo anaonekana?” anauliza kwa shaka Profesa Hassan Ugail wa Chuo Kikuu cha Bradford.

Picha ya kidijitali inaonyesha uso uliooza, na inakaribia kuingizwa kwenye algorithimu maalum kwa ajili ya uchunguzi wa BBC.



Source link

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *