[ad_1]

Picha ya vijidudu kwenye hadubini

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Picha ya vijidudu kwenye hadubini

Bakteria wanaoishi kwenye matumbo na midomo yetu huenda wanadhibiti jinsi tunavyolala usiku.

Sasa, wanasayansi wanapanga kuwatumia ili kutusaidia kulala vizuri zaidi.

Unapolala kitandani usiku huu, mwili wako utakuwa na shughuli nyingi.

Katika kila inchi ya mwili wako hata ndani mabilioni ya viumbe vidogo wanajongea na kusongamana wakigombea nafasi.

[ad_2]

Source link

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *