Charles Mwesigwa - anayejulikana kwa jina la Abbey - anasema wanawake wanaomfanyia kazi ni machachari sana
Maelezo ya picha, Charles Mwesigwa – anayejulikana kwa jina la Abbey – anasema wanawake wanaomfanyia kazi ni machachari sana

    • Author, Runako Celina
    • Nafasi, BBC Eye Investigations

Tahadhari: Ina maudhui na maelezo ya matukio ya ngono

Uchunguzi wa BBC umefichua mwanamume anayeendesha mtandao wa biashara ya ngono kutoka kwenye maeneo ya kifahari ya Dubai, akiwanyanyasa wanawake walio katika mazingira magumu.

Mwanamume huyo, anayeitwa Charles Mwesigwa, ambaye anadai kuwa alikuwa dereva wa basi jijini London, aliiambia mwandishi wa BBC aliyekuwa akifanya upelelezi kwa siri kuwa anaweza kupanga wanawake kwa ajili ya sherehe za ngono, kuanzia bei ya dola 1,000 kwa kila mwanamke.

Aliongeza kuwa wanawake hao wanaweza kufanya karibu kila kitu mteja anachotaka.



Source link

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *