Mjini Pritoria wakaazi wakiwa wana zana za kuchomea nyama wamejitokeza kuvunja rekodi ya dunia ya japan ya watu 2,220. Lakini zaidi ya shindano hilo kuna ufahari ndani yake- Kwani wengi wanaamini kuchoma nyama, au Brai kama wanavyoita kuna urathi wa kitamaduni wa Afrika Kusini