Mashambulizi ya Israel yamewaua zaidi ya watu 30 Ukanda wa Gaza++++Mali yalaani shambulio la Algeria dhidi ya droni yake mbele ya UN+++Droni za Ukraine zashambulia miundombinu ya mafuta Urusi++++Ujerumani yataka makubaliano kuwarejesha Syria waomba hifadhi waliokataliwa.