Mpinzani wake mkuu ni mbunge mkongwe aliyewahi kuwa spika wa bunge Patrick Herminie wa chama cha Seychelles. Misururu mirefu ya wapiga kura imeshuhudiwa katika vituo vya kupigia kura mapema Jumamosi.

Hakuna dosari zilizojitokeza mwanzo wa zoezi la kupiga kura

Tume ya uchaguzi katika kisiwa hicho imesema vituo vyote vilifunguliwa mapema na shughuli ya kupiga kura imefanyika bila tatizo lolote. Takriban watu 77,000 kati ya raia 120,000 wa kisiwa hicho wamejiandikisha kupiga kura katika uchaguzi huo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *