Mamlaka ya Taliban yazima mtandao wa intaneti
Mamlaka ya Kiislam ya Taliban nchini Afghanistan imeamuru kuzimwa kwa mkongo wa taifa wa intaneti "hadi kutakapotangazwa vinginevyo."
Mamlaka ya Kiislam ya Taliban nchini Afghanistan imeamuru kuzimwa kwa mkongo wa taifa wa intaneti "hadi kutakapotangazwa vinginevyo."
Rais wa Marekani ambaye ndiye chanzo kikuu cha mauaji ya umati huko Ghaza kwa uungaji mkono wake wa hali ya juu kwa utawala wa Kizayuni, kwa mara nyingine tena amejifanya…
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa maadui wanafanya kila wawezalo kuiwekea vikwazo Iran kwa sababu nchi hii iimekataa kuwapigia magoti na haitakubali kudhalilishwa.
Uwanja wa ndege mkuu wa Israel umesimamisha kwa muda safari za ndege baada ya jeshi la Yemen kufanya operesheni maalumu ya shambulizi kwa kutumia kombora la 'hypersonic' aina ya Palestina…
Watafiti wa kijeshi wa China wamefanya majaribio ya ulipuaji wa nyuklia mtawalia ili kuunda nguvu kubwa zaidi ya uharibifu.
Sudan imetoa "tahadhari nyekundu" kuhusu uwezekano wa kutokea mafuriko katika majimbo matano kando ya Mto Nile, ikisema kuwa viwango vya maji vimeongezeka katika vijito vyake viwili vikuu, Blue na White…
Wananchi wa Afrika Kusini walifanya maandamano makubwa na ya kihistoria hivi karibuni wakitaka kuvunjwa kikamilifu uhusiano wa kidiplomasia na kibiashara wa nchi hiyo na utawala dhalimu na wa ubaguzi wa…
Leo ni Jumanne tarehe 7 Rabiul-Thani mwaka 1447 Hijria Qamaria, sawa na tarehe 8 mwezi Mehr mwaka 1404 Hijria Shamsia inayosadifiana na tarehe 30 Septemba 2025 Miladia.
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu amesema anaunga mkono pendekezo la mpango wa amani kwenye Ukanda wa Gaza baada ya mazungumzo na Rais Trump jana Jumatatu huku akiwatahadharisha wapiganaji wa Hamas ikiwa…
Rais wa Marekani Donald Trump alimkaribisha waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu mjini Washington kwa mkutano wa kujadili pendekezo la mpango wa amani wa Ukanda wa Gaza+++Mkutano wa 80 wa…