Merz ahofia Ujerumani kumpoteza mshirika wake Marekani
Kansela Friedrich Merz amesema Ujerumani iko hatarini kumpoteza Marekani kama mshirika wake mkubwa kabisa na wa kumtegemea.
Kansela Friedrich Merz amesema Ujerumani iko hatarini kumpoteza Marekani kama mshirika wake mkubwa kabisa na wa kumtegemea.
Serikali ya Slovenia imepiga marufuku Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kuingia nchini humo, hatua inayochochea zaidi mivutano ya kidiplomasia kati ya Ljubljana na Tel Aviv.
Rais wa Palestina amelihutubia baraza hilo kwa njia ya video na kuikosoa vikali Israel kwa vita vyake huko Gaza na kwa vitendo vyake katika eneo Ukingo wa Magaharibi, huku pia…
Meli ya mizigo yenye bendera ya Tanzania imeripotiwa kuzama kwa sehemu kusini mwa Kisiwa cha Kish nchini Iran, kwa mujibu wa shirika la habari la Tasnim.
Rais wa Mamlaka ya Palestina Mahmoud Abbas amesema kundi la Hamas halitakuwa na nafasi katika uongozi wa Palestina mara vita vitakapokoma kwenye Ukanda wa Gaza na litalazimika kukabidhi silaha zake…
Rais wa Palestina Mahmoud Abbas amesema kundi la Hamas halitakuwa na nafasi katika uongozi wa Palestina mara vita vitakapokoma kwenye Ukanda wa Gaza na litalazimika kukabidhi silaha zake kwa Mamlaka…
Baada ya ukiukaji wa anga ya NATO na ndege za Urusi nchini Poland na Estonia, mjadala mkali umeibuka miongoni mwa wanachama wa jumuiya hiyo kuhusu iwapo wachukue hatua za moja…
Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy, aliyeingia madarakani kwa kishindo mwaka 2007, anakabiliwa na anguko kubwa la kisiasa baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa ufisadi na…
Rais wa Palestina Mahmoud Abbas amesema kwamba kundi la Hamas halitakuwa na nafasi katika uongozi wa Gaza mara baada ya vita kukoma, akisisitiza kuwa mamlaka ya Palestina iko tayari kubeba…
“Nilikuwa nimepitiwa na usingizi…” Hamisa akajibu. “Samahani. Nilikupigia muda huu kwa kuhisi kuwa umeshatoka kazini.” “Bila samahani. Nililala ghafla tu, sijazima televisheni wala taa… Kwema huko?”
Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Palestina analihutubia leo Alhamisi Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York kwa njia ya video.
Umoja wa Afrika umempongeza Peter Mutharika kwa kushinda uchaguzi nchini Malawi, pamoja na wanachi wa taifa hilo kwa kufanya kampeni za amani.
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, amekaribisha ‘ujumbe wa wazi’ uliotolewa na rais wa Marekani, Donald Trump, ambaye juma hili alionekana kubadili msimamo kuhusu vita ya Ukraine, akidai kuwa nchi hiyo…
Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy amekutwa na hatia na mahakama ya jinai ya Paris kwa baadhi ya makosa ya kesi inayohusiana na madai ya fedha za kampeni kutoka…
Ripoti mpya iliyochapishwa hii leo na jarida la masuala ya tiba la Lancet inaonyesha idadi ya visa vipya vya saratani vitaongezeka kwa kasi kote ulimwenguni katikati ya karne hii.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema katika kujibu madai ya Marekani ya kwamba eti iko tayari kufanya mazungumzo na Iran na kuheshimu diplomasia na kusema: Huwezi…
Wananchi wa Tunisia wamefanya maandamano katika mikoa na miji mikubwa yote ya nchi hiyo kuunga mkono kundi la Global Fleet of Resistance na pia kuunga mkono mapambano ya kuhakikisha vita…
Baada ya Israel kushindwa kuzuia shambulio la droni la Yemen katika eneo la kusini mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu, gazeti la Jerusalem Post linalotoa nakala nyingi zaidi limekiri…
Ndege iliyokuwa imembeba waziri mkuu wa Israel ambaye ni maarufu kwa jina la nduli wa Ghaza na ambaye anasakwa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kujibu mashtaka ya jinai…
Rwanda imetangaza kuwa, jana Jumatano ilipokea wakimbizi 314 raia wa nchi hiyo waliorejeshwa Rwanda kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
Takriban raia 15 wameuawa na wengine 12 kujeruhiwa katika shambulio la droni na ndege zisizo na rubani linalodaiwa kufanywa na RSF kwenye soko moja ndani ya mji wa El Fasher…
Watu 11 wameuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel katika Ukanda wa Gaza huku jeshi la Israel likiendeleza mashambulizi yake ya ardhini katikati ya mji wa Gaza City.
Viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wametoa sababu mbalimbali kwa nini mazungumzo na Marekani hayana natija.
Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa unaendelea kwa siku yake ya nne. Miongoni mwa watakaohutubia mkutano huo ni Rais wa Palestina Mahmud Abbas na mawaziri wakuu wa mataifa…
Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy, amepatikana na hatia ya kupanga njama kuhusu sakata la kufadhiliwa na serikali ya Libya, wakati wa kampeni za uchaguzi wa urais mwaka 2007.…
Wakati mfumuko wa bei ukipungua katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), hali ambayo inaweza kuashiria kuboreka kwa hali ya uchumi, mamlaka zina wasiwasi kuhusu ukubwa wa mishahara ya serikali.…
Ufaransa iko tayari kuunda ndege ya kivita ya siku za usoni ikiwa peke yake ikiwa mazungumzo na Berlin na Madrid yatashindwa kuhusu mradi wa baadaye wa ndege ulioandaliwa kwa pamoja,…
Vita vya Ukraine, vilivyoanza mwishoni mwa mwezi Februari 2022, vimeleta mabadiliko makubwa ya kijiografia na kisiasa ulimwenguni.
Kwa mara ya kwanza, Wizara ya Usalama ya Iran imeonyesha hadharani picha na taswira nyeti za ndani ya kinu cha nyuklia cha Dimona cha utawala wa kizayuni wa Israel.
Jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel limesema ndege isiyo na rubani iliyorushwa kutoka Yemen imeshambulia mji wa kusini wa Eilat na kujeruhi wa 22 wakiwemo wawili ambao hali zao…
Siku mbili baada ya ndege zisizo na rubani kuonekana juu ya anga ya uwanja wa ndege wa Copenhagen, ndege hizo zimeonekana usiku wa umatano kuamkia Alhamisi kwenye viwanja vinne vya…
Rais wa Kenya William Ruto ametoa hotuba kali katika kikao cha 80 cha Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jijini New York siku ya Jumatano.
Rais wa Kenya William Ruto ametoa hotuba kali katika kikao cha 80 cha Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jijini New York siku ya Jumatano.
Tovuti ya habari ya Politico imeripoti kuwa, katika mkutano wa faragha aliofanya Rais wa Marekani Donald Trump na viongozi wa nchi kadhaa za Kiarabu na Kiislamu, rais huyo wa Marekani…
Tume ya Uchaguzi ya Malawi imemtangaza aliyekuwa rais wa nchi hiyo Peter Mutharika wa chama cha Democratic Progressive Party (DPP) mshindi wa uchaguzi wa rais uliofanyika Septemba 16.
Miaka 20 iliyopita, alikuwa katika jela ya Marekani nchini Iraq kwa ajili ya uanachama wake katika kundi la Islamic State. Siku ya Jumatano, Septemba 24, almezungumza katika Umoja wa Mataifa…
Mikutano ya hadhara imepangwa katika miji mikubwa ya Madagascar leo Alhamisi hii, Septemba 25, kupinga kukatwa kwa umeme na maji, hali ambayo imekuwa mbaya zaidi katika miaka ya hivi karibuni,…
Mpango mpya wa Marekani wa kumaliza vita huko Gaza uko mezani. Marekani imewasilisha mapendekezo yake kwa nchi za eneo hilo kando ya Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa mjini New…
Nchini Cameroon, siku tatu kabla ya kuanza kwa kampeni za uchaguzi wa urais wa Oktoba 12, serikali imeonya wanasiasa, hasa wagombea katika uchaguzi huu, siku ya Jumatano, Septemba 24, dhidi…
Nchini Senegal, mashirika kumi na tano yanayotetea haki za wanawake yanamtaka Rais Bassirou Diomaye Faye kutekeleza maneno kwa vitendo, baada ya kutangaza kujikita kwa usawa wa kijinsia na kutetea haki…
Nchini Uganda, sasa inajulikana Yoweri Museveni atapambana na nani katika uchaguzi wa urais wa mwezi Januari 2026. Katika taarifa iliyotolewa siku ya Jumatano, Septemba 24, Tume ya Uchaguzi imetangaza kwamba…
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani mashambulizi ya anga ya “kikatili” yaliyofanywa na Marekani na Israel mwezi Juni katika ardhi ya Iran.
Leo ni Alkhamisi mwezi Pili Mfunguo Saba Rabiu Thani inayosadifiana na tarehe 25 Septemba 2025 Milaadia.
Ikulu ya Kremlin imetangaza kuwa Russia haina "mbadala" isipokuwa kuendelea kupigana vita, huku ikijibu mapigo kwa mabadiliko ya ghafla yaliyoonyeshwa dhidi ya nchi hiyo na Rais wa Marekani Donald Trump…
Rais wa Marekani Donald Trump amezituhumu India na China kuwa "zinafadhili kifedha" vita vya Ukraine kupitia uagizaji wa nishati kutoka Russia. Trump ametoa shutuma hizo katika hotuba yake kwenye Mkutano…
Mjumbe maalumu wa Marekani katika masuala ya Syria Tom Barrack amedai kuwa utawala wa kizayuni wa Israel na Syria zinakaribia kufikia makubaliano ya usalama.
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda zimekubali kuanza kutekeleza hatua za kiusalama chini ya makubaliano yaliyoidhinishwa na Marekani mwezi ujao, vyanzo vitatu vinavyofahamu suala hilo vimeliambia shirika la habari…
Kamanda mwandamizi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, utawala wa kizayuni wa Israel hauna uwezo wa kupigana bila ya kusaidiwa na shirika la kijeshi la NATO na Marekani, jambo…
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian, amehutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kusema kwamba nchi yake haina lengo la kuunda silaha za nyuklia.
Watu 20 wamejeruhiwa, wawili wako katika hali mbaya kutokana na shambulio la droni katika mji wa Eilat kusini mwa Israel.Hapo baadae waasi wa Kihouthi walidai kuhusika na shambulio hilo.