Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 30, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Hakuna aliye tayari kusimama na Israel au kuonekana kwenye picha na serikali ya Netanyahu, isipokuwa mataifa machache,' anasema Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan.
Viongozi wa Marekani na Korea Kaskazini wameonesha utayari wa kukutana kwa mara ya nne, lakini pande hazijalegeza msimamo katika suala muhimu la kudhibiti mpango wa nyuklia wa Korea Kaskazini.
Katibu Mkuu wa zamani wa NATO, Jens Stoltenberg, aezela jinsi alivyombembeleza Trump asiondoke NATO, pendekezo la “suluhisho la Kifini” kwa Ukraine, na mvutano wake na Ufaransa kuhusu uongozi na mageuzi…
Kadri Tanzania inavyokaribia uchaguzi wa Oktoba, migawanyiko ndani ya chama tawala na upinzani uliogawanyika inaweza kuamua mustakabali wa kisiasa wa nchi hiyo.
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Ujerumani Johann Wadephul, amesema suluhisho la mzozo wa Gaza lipo karibu kufikiwa huku akipongeza juhudi za Marekani za kutaka kusitisha vita katika…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwahudumia Watoto, UNICEF limetoa wito wa kuhamishwa mara moja kwa kiasi cha watoto 25 walio wagonjwa ama njiti walioko katika mashini za kuwatunza watoto…
Hungary imetangaza leo kufungia ufikiaji wa tovuti 12 za habari za Ukraine baada ya hatua kama hiyo kuchukuliwa na Ukraine na kuzidisha mvutano kati ya mataifa hayo mawili jirani.
Mshauri mkuu wa utawala wa mpito wa Bangladesh ameishutumu India kwa kuchochea machafuko, kufuatia vifo vya watu watatu katika ghasia za kikabila kwenye wilaya ya kusini-mashariki mwa nchi hiyo.
Sudan imetoa onyo la uwezekano wa mafuriko katika majimbo matano kando ya Mto Nile, ikitaja kupanda kwa viwango vya maji katika vijito vyake viwili vikuu, Blue na White Nile.