#HABARI: Barabara ya Morogoro – Dar es Salaam, imeshindwa kupitika kwa saa kadhaa na kusababisha foleni kubwa, licha ya magari kupita barabara za mchepuko kufuatia ajali iliyohusisha malori ya mizigo, huku dereva wa gari namba T 675 DMY lililotokea Dar es Salaam akinasuliwa na vikosi vya uokoaji baada ya kunaswa miguu kwenye ajali hiyo iliyotokea eneo la Mapumbani Nanenane Manispaa ya Morogoro.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetan