#HABARI: Kampuni inayotoa huduma za kifedha kwa njia ya simu Mix By Yas imesema kampeni yake kila hatua Mix By Yas, imekuwa ya mafanikio makubwa kwa wafanyabiashara na wakulima wa mkoa wa Mtwara ambao wanapata mikopo ya pembejeo sambamba na kupokea fedha Kidigitali, baada ya kuuza mazao yao.
Mkuu wa Kitengo cha Huduma zaFifedha na Malipo ya Kidigitali kutoka Yas Makao Makuu Dar es Salaam, Mshama Mshama ameelezea faida ya kila hatua Mix kwa Wanamwara huku Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Pwani Kusini Fadhila Saidi, akihamasisha matumizi zaidi ya Mix By Yas.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.