#HABARI: Siku mbili baada ya wanaharakati wawili kutoka Kenya, Bob Njagi na Nicholas Oyoo, kuripotiwa kutekwa nyara nchini Uganda, na watu waliokuwa wamejihami katika mazingira ya kutatanisha baada ya kuhudhuria shughuli za kampeni za mwanasiasa wa upinzani wa Uganda Bobi Wine, Mamlaka za Kenya zimethibitisha kushikiliwa kwa wawili hao na serikali ya Uganda.
Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *