Kufuatia msiba wa mwana mazingira na mtafiti mbobezi wa uhusiano wa sokwe, binadamu na mazingira, Dkt. Jane Goodall ambaye utafiti wake zaidi ya miaka 50 kuhusu sokwe ulimpa heshima na tuzo mbalimbali…tunaangazia baadhi ya matukio na nyakati muhimu za utendaji kazi wake.
Imeandaliwa na @moseskwindi