Mgombea Urais wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kukamilisha mchakato wa kufufua mashamba ya maua ya Kiliflora Usariva, Arusha Blooms na Kiliflora Nduruma ambayo yalisitisha uzalishaji ikiwa ni sehemu ya kutumika kwa shughuli zingine ikiwemo programu za kilimo na kugawiwa kwa wananchi.
Ramadhani Mvungi ana undani wa taarifa hii.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi