Mgombea Urais wa Chama cha CHAUMMA, Salum Mwalim amewaahidi wapiga kura wa Kilosa mkoani Morogoro kuwa endapo atafanikiwa kushinda Uchaguzi Mkuu ataunda serikali ambayo itashughulikia changamoto za muda mrefu za wilaya hiyo bila kuwa na kizuizi katika kufanya maamuzi.

Taarifa zaidi na Emmanuel Kalemba

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *