Mgombea Urais wa SAU, Majalio Kyara ameomba apewe siku 450 kwa ajili ya kufanya mageuzi katika sekta ya afya ili kupunguza changamoto zinazowakabili wajawazito wakati wa kujifungua.

Kyara aliyekuwa akiomba kura kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba ameomba siku hizo akiwa mkoani Tabora na kuwahimiza wapiga kura kumpa fursa ya kuwa Rais wa Tanzania.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *