Mgombea wa Urais Coaster Kibonde wa Chama cha MAKINI ameahidi kuboresha sekta ya kilimo nchini ikiwemo kugawa bure pembejeo kwa wakulima nchini kwasababu sekta hiyo inahusisha wananchi wengi.
Taarifa ya Sammy Kisika kutoka Rukwa imeangazia kampeni za Kibonde.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi