Mwanamke mwenye umri wa miaka 36, makazi wa Mtaa wa Kilimanjaro, Kata ya Kihonda – Morogoro, amefariki dunia akidaida kufanya jaribio la kutoa ujauzito.
Nini kifanyike ili kuzuia matukio kama haya yasitokee? Tuandikie maoni yako na tutayasoma #AdhuhuriLive saa 7:00 katika chaneli ya #utv
#AzamTVUpdates