Ni ukweli wa wazi kuwa upendo na mshikamano kwenye familia huchangia kwa kiasi kikubwa sana mafanikio ya wana familia kiuchumi na kijamii.
Lakini isivyo bahati, katika baadhi ya familia mafanikio na maendeleo ya baadhi ya wanafamilia husababisha chuki na uhasama miongoni mwao.
Je, umewahi kukutana na hali hii katika familia yenu au kuishuhudia katika familia za jirani?
Hebu tujuze kwenye maoni chanzo na athari zinazojitokeza kutokana na mabadiliko hayo.
Maoni yako yatasomwa katika kipindi cha #kilingechafamilia
#AzamTVUpdates