Shuhuda wa kifo cha mama anayekadiriwa kuwa na miaka 36 anayedaiwa kufariki dunia akiwa katika harakati za kutoa ujauzito mkoani Morogoro ambaye ni mtoto wa marehemu amesimulia ‘maumivu, mateso na machungu aliyopitia mama yake wakati wa dakika za mwisho za uhai wake’ huku akishuhudiwa na watoto wake wawili.

Mwandishi wetu Theresia Mwanga ametuandalia taarifa zaidi.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *