Tanzania imeahidi kuendeleza ushirikiano wa kijeshi na Misri ili kudumisha amani na kuongeza ujuzi baina ya nchi hizo.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Tax katika maadhimisho ya sherehe za miaka 52 ya ukombozi wa Misri zijulikanazo kwa jina la ‘October Victory’.

#AzamTVUpdates
✍ Warda John
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *