Ubora wa unga wa ngano unaozalishwa na kampuni ya Said Salim Bakhresa umeendelea kuvutia mataifa mbalimbali duniani kupitia bidhaa zake zinazouzwa katika mataifa mengi ya Afrika.

Hayo yamebainishwa wakati wa ziara ya Wakufunzi na Wanafunzi kutoka Chuo cha Ukamanda na Unadhimu cha Zambia waliotembelea kiwanda hicho na kukiri kushuhudia uzalishaji mkubwa na wa hali ya juu sambamba na kupongeza fursa za ajira zilizozalishwa kupitia kiwanda hicho.

Taarifa hii ina undani zaidi.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *