Wakazi wa Iringa wanatarajiwa kunufaika na ujenzi wa viwanda vya usindikaji matunda na mazao ya chakula sambamba na kiwanda cha kutengeneza karatasi kupitia mazao ya misitu iwapo mgombea Urais wa chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo atafanikiwa kushinda uchaguzi wa Oktoba mwaka huu.

Ahadi ya ujenzi huo imetolewa na mgombea huyo katika kampeni zake zilizofanyika leo mkoani humo na kushuhudiwa na Muhammad Nyaulingo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *