Wakulima wa karafuu visiwani Zanzibar wameahidiwa soko la kimataifa la bidhaa zitokanazo na zao hilo iwapo watampa kura mgombea wa chama cha UDP, Salum Rashidi anayewania Urais wa Tanzania.
Mgombea huyo alikuwa akinadi sera zake katika viwanja vya Magirisi visiwani Zanzibar na kuongeza kuwa ataimarisha miundombinu ya zao la karafuu ili kukuza uchumi wa wananchi kama anavyoripoti Naima Haji.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi