Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa imeikosoa hatua ya Israel ya kuzikamata meli za wanaharakati wa kimataifa waliokuwa wakipeleka msaada Gaza+++Ujerumani inaadhimisha leo miaka 35 tangu zilizokuwa Ujerumani Mashariki na Magharibi zilipoungana na kuwa nchi moja tena.