#HABARI: Hali ya majonzi imetanda katika Mtaa wa Kilimanjaro, Kata ya Kihonda, Manispaa ya Morogoro baada ya mwanamke mmoja mwenye umri wa takriban miaka 36 kufariki dunia usiku akidaiwa kuwa katika jitihada za kutoa ujauzito unaokadiriwa kuwa na miezi sita.
Mwanamke huyo anadaiwa kujihusisha na tukio hilo wakati akiwa na watoto wake wawili chumbani kwake ambapo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama amethibitisha tukio hilo.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.