#HABARI: Kufuatia tukio la moto kutekeza bweni la shule ya sekondari Asha Rose Migiro Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, na kupelekea vifaa vya wanafunzi kuteketea, Serikali imeanza hatua ya kukarabati bweni hilo, pamoja na kutoa baadhi ya vifaa vya shule kwa wanafunzi waliokumbwa na changamoto hiyo, ili kuendelea na masomo yao.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.