#HABARI: Mama mwenye watoto 7 na wajukuu 4 aliyefahamika kwa jina la Majabu Sufiani Mohamedi (52) Mkazi wa Kijiji cha Kwamgwe wilayani Handeni mkoani Tanga, amedaiwa kuuawa na mumewe wakiwa shambani.

Wakitoa taarifa ya tukio hili wakazi wa kijiji hicho, baba mzazi wa marehemu ambaye ni Mwenyekiti wa Kata Chama cha Mapinduzi Kata ya Kwamgwe pamoja na watoto wa marehemu wamesimulia tukio hilo.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *