#HABARI: Mashabiki na wanachama wa Simba kwa sasa wana hamu ya kuona klabu yao, ikimtangaza kocha mpya kabla ya wiki hii kumalizika, ambapo mpaka sasa Kocha Mbulgaria kutoka Gaborone United ya Botswana Dimitar Pantev akitajwa kumalizana na Simba.

Mchezaji wa zamani wa Simba Dua Said, anataka kocha ambaye ataiongoza Simba katika misingi na tamaduni zake, na akampigilia msumari ikitokea Kocha wa Yanga akiondoshwa kwa mtindo wake wa ufundishaji, basi hana sifa wala vigezo vya kufundisha Simba.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *