Idadi ya wagonjwa wa saratani nchini huenda ikaongezeka kwa takribani mara tatu ya sasa kutokana na mabadiliko ya mitindo ya maisha.

Hayo yamesemwa na Rais wa Chama cha Madaktari Bingwa wa Saratani nchini Dkt. Jerry Ndumbaro katika kongamano la kimataifa la siku mbili huku idadi ya sasa ikitajwa kufikia wagonjwa zaidi ya elfu 44.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *