
Hayo yanajiri wakati waratibu wa boti za kupeleka misaada na wafanyakazi wa kujitolea katika Ukanda wa Gaza wakisema Israel imeizuia boti ya mwisho ya wanaharakati hao leo Ijumaa.
Jumatano wiki hii, Jeshi la wanamaji la Israel lilianza kuzizuia boti takriban 42 za wanaharakati hao wasiopungua 400 kuingia kwenye Ukanda wa Gaza unaokabiliwa na mashambulizi makali.