Kama mteja wa #AzamTV tunazidi kusogea karibu nawe kwa burudani na huduma rafiki zenye kukurahisishia maisha, kwa wewe unayetumia #AzamMaxApp hii hapa namna ya kuunganisha App na kisimbuzi chako cha nyumbani ili wote muweze kuburudika bila kupitwa wala kugasiwa.
Mtoa Elimu Kitengo cha Huduma kwa Wateja AzamTv, Reagan Tairo akieleza namna unavyoweza kutumia App katika simu yako huku ikikupa nafasi ya kuunganisha akaunti zaidi ya moja na kuendelea kuburudika na #AzamTV .
Bila kusahau unakumbushwa kulipia kifurushi cha kisimbuzi chako kwa wakati ili kuepuka usumbufu.
#AzamTvupdates
✍ Warda John
Mhariri |Mussa Katuga