Kila Ijumaa ya kwanza ya Oktoba dunia huadhimisha ‘Siku ya Kutabasamu’ huku urafiki, udugu na ushirikiano ukitajwa kuwa muhimu katika kuwasaidia watu watabasamu.

Je, wewe unatabasamu kwa furaha au unaficha maumivu?

Hebu tujuze kwenye eneo la maoni.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *