Kwa taarifa yako…nzi na funza wanaweza kukuinua kiuchumu…
Fuatilia simulizi ya Denis Kamanzi, mwanzilishi wa BIOAKEMI, ambaye aliona fursa kwenye ufugaji wa nzi-chuma na funza. Fursa hii imebadili muelekeo wa maisha yake, ikamwezesha kujiajiri na pia kuajiri vijana wengine.
Msikilize akifafanua namna nzi na funza walivyokuwa daraja la kumuinua kiuchumi.
#AzamTVUpdates
✍Alpha Jenipher
Mhariri | John Mbalamwezi