Makamu wa Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Sumbawanga, Modest Katonto, ameiasa jamii kushirikiana na viongozi wa dini katika kukabiliana na mmomonyoko wa maadili unaoendea kutokana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia.

Ametoa wito huo leo wakati wa maadhimisho ya Jubilee ya miaka 50 ya huduma ya upadri wa Padri Anselmo Kashatila, Paroko wa Parokia ya Chala, ambaye sasa ana umri wa miaka 77.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *