Mgombea Urais ambaye pia ni Rais anayetetea kiti hicho, Dkt. Samia Suluhu Hassan wa CCM ameahidi kufanya mapinduzi ya kilimo cha ngano hadi kufikia uzalishaji wa tani milioni moja ifikapo mwaka 2030.
Dkt. Samia ametoa ahadi hiyo wilayani Hanang alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni kama anavyoeleza Ramadhani Mvungi.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi