Mgombea Urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu ameahidi kuja na mkakati wa uchakataji na kuongeza thamani za bidhaa za ndani badala ya kupeleka malighafi nje ya nchi.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *