Mgombea urais Yustas Rwamugira wa Chama cha TLP amesema serikali atakayoiunda akifanikiwa kushinda Uchaguzi Mkuu itajikita katika utoaji wa mikopo kwa wafanyabiashara kote nchini ili kukuza mitaji yao na baadae kuirejesha serikalini bila riba.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *