“Ninajua mawasiliano ya simu katika baadhi ya maeneo ya Wilaya ya Hanang siyo mazuri kabisa, serikali tunalijua hilo, ila tunajipanga kujenga minara mitano ya mawasiliano ili mawasiliano yawe sawasawa, tunajua kuwa simu siku hizi ni kila kitu, kwahiyo ni muhimu kuwa na mtandao wa mawasiliano” -Dkt.Samia Suluhu Hassan – Mgombea Urais wa CCM

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *