Shirika la Kuendeleza Kilimo Hai nchini (Toam) na Wizara ya Kilimo wanatarajia kufanya mkutano wa nne wa kitaifa wa kilimo ikolojia hai, utakaoambatana na tafiti mbalimbali za sekta hiyo ambazo zinaonesha jinsi kilimo kinavyosaidia katika afya na uhifadhi wa mazingira.

#AzamTVUpdates
✍Upendo Michael
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *