Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na taasisi ya Heart Team Afrika (HTAF) wameandaa mashindano ya uandishi wa insha kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari nchini kwa lengo la kutoa elimu ya afya ya moyo kupitia mradi wa miaka mitatu wa “Moyo Wangu, Afya Yangu”.
Wasikilize viongozi wa taasisi hizo.
Mhariri @moseskwindi