Tanzania na Kenya zimeondoa vikwazo vinne vya kibiashara visivyo vya kiushuru kati ya vikwazo 14 vilivyojadiliwa katika mkutano wa tisa wa Kamati ya Pamoja ya Biashara baina ya nchi hizo huku vikwazo 10 vilivyobakia vikitarajiwa kutatuliwa ifikapo Machi 31, 2026.
Mhariri @moseskwindi