Wakandarasi mkoani Katavi wametakiwa kuachana na visingizio na badala yake kuelekeza nguvu katika kuhakikisha miradi ya ujenzi wa meli kwenye Ziwa Tanganyika inakamilika kwa wakati.

Viongozi wa mkoa wamesisitiza kuwa ucheleweshaji wa miradi hiyo unakwamisha juhudi za serikali katika kukuza uchumi wa wananchi kupitia usafiri wa maji na biashara zinazotegemea Ziwa Tanganyika.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *